Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Alichokiandika Davido baada ya ‘Skelewu’ kutumika kwenye movie kubwa Hollywood

on

Mkali kutoka Lagos Nigeria, Davido kupitia mtandao wake wa Twitter amefunguka namna ambavyo ameshangazwa na kufurahishwa baada ya Hit song yake ya Skelewu kutumika katika moja ya movies kubwa huko Hollywood Marekani. Movie hiyo (Qween of Katwe) ambayo amecheza Lupita N’yongo na David Oyelowo kama wahusika wakuu.

Sikuwahi kufikiri ningeweza kusikia Skelewu kwenye movie ya Disney. Nimestaajabu#QweenofKatwe @iamshizzi CRAZY SHIT @Lupita_Nyongo Ubarikiwe!!

davido

Movie hiyo ambayo Lupita pamoja na David Oyelewo wameanza kuipiga promo itatoka rasmi Sept 31 kwenye majumba ya sinema mtu wangu.

KAMA BADO HUJAIONA, UNAWEZA KUICHECK TRAILER YA MOVIE HIYO YA QWEEN OF KATWE>>>

KAMA ULIMISS MANENO YA WEMA SEPETU , AKIWATIMUA TIMU WEMA>>.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement