Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Time ya kuenjoy video mpya Davido ft Tinashe ‘How long’

on

Goodnews kwa wale mashabiki wa naija hit songs pia kama unamkubali Davido msanii kutoka Nigeria amerudi tena kwenye game nzima wa burudani baada ya ukimya mrefu ametuletea hii hit song mpya ‘How long’ aliyoshirikisha msanii kutoka marekani mwenye asili ya Zimbambwe, Tinashe.

Baada ya kuachia audio sasa ni time ya kuenjoy video ya hit hiyo nimekuweka hapa chini unaweza kuitazama mtu wangu.

ULIMISS KUITAZAMA VIDEO YA  KITU ALICHOFANYA MR BLUE KWENYE STAGE ZA FIESTA 2016 DODOMA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement