Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AudioMPYA: Diamond na Rayvanny wametuletea hii single mpya…

on

Ni single mpya ya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz iitwayo Salome ambapo time hii amemshirikisha msanii wake kutoka WCB aitwae Raymond aka Rayvanny.Wimbo umetayarishwa kutoka studio za Wasafi Records chini ya producer Leizer Classic.

Unaweza ukabonyeza HAPA kuusikiliza wimbo huo mpya na ukishaisikiliza sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HII YA RAYMOND WA WCB ALIVYOZAWADIWA GARI JIPYA NA UONGOZI WAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement