Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

FULL INTERVIEW: Kitu Diamond amesema kuhusu Ommy Dimpoz, nani mkali, Universal, Rihanna na Rick Ross

on

Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz alifanya mahojiano na XXL ya CloudsFM November 23 2016 chini ya Watangazaji B Dozen, Mami Baby na Kennedy na kuongea ishu nyingi kwa uzito ikiwemo kusaini mkataba na Universal, maneno kati yake na Ommy Dimpoz, bonyeza play hapa chini kusikiliza kila kitu

VIDEO: Uliikosa ya Diamond Platnumz kuwaona waliosema Tiffah sio mtoto wake? bonyeza play hapa chini kwenye hii video

VIDEO: Diamond Platnumz huwa anashika simu ya mpenzi wake? mengine ni yapi? bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement