Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Young D anatualika kuitazama hii mpya inaitwa ‘Young Daddy’

on

January 4 2017 star kutokea soko la muziki nchini Tanzania David Ganzi maarufu kama Young D ameachia mdundo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Young Dady‘ na tayari nimekusogezea hapa chini link ya video hiyo ambayo imefanywa chini ya director Khalfani Khalmandro.

Ukimaliza kuitazama naomba niachie comment yako kuniambia Young D katisha kwa asilimia ngapi katika mdundo huu na baadae yeye mwenyewe atapita kuzisoma.

Maneno ya Rapper Young Dee kuhusu mtoto wake 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement