Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

UCHEBE KAFUNGUKA KUHUSU SHILOLE KULEWA “Nimembadilisha Shilole hakuwa hivi”

on

Mume wa Msanii Shilole ambaye alifunga naye ndoa mwishoni mwa mwaka 2017, Uchebe amezungumza kwenye Exclusive Interview na AyoTV jinsi alivyombadilisha Shilole haswa kwenye swala la pombe kwani zamani hakuwa hivyo.

Uchebe ameeleza kuwa amejitaidi kumbadili Shilole tofauti alivyomkuta na kukanusha kuwa analelewa na Shilole kama watu wanavyo dai kwenye mitandao ya kijamii na kusema yeye anashughuli zake anazofanya ikiwemo kusimamia biashara za Shilole, huku akisisitiza kuwa account ya Official Uchebe ya Instagram siyo ya kwake watu waipuzie na kisha kutaja Acount anayoitumia Instagram..

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY..

“Dada yangu hajataka niolewe sijui ananiona Bikra bado?” – SHILOLE

Chin Bees alivyo perform na Bendi ya Compozers New Year

Soma na hizi

Tupia Comments