Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AUDIO: Majibu ya Mkubwa Fella wanaosema Yamoto Band wamepotea

on

Baada ya kuwepo kwa comment za mashabiki kudai kuwa Yamoto Band wamepotea na hawasikiki tena,  Leo November 15 2016 millardayo.com na AyoTV imempata, Mkubwa Fella kuzungumzia hilo na ameyajibu haya ……..

>>>’Kwanza  waswahili wanasema hivi, kimya kingi kina mshindo mbali na hayo labda niwakumbushe wananchi wimbo wetu wa Su mwezi wa saba baada ya pale mwezi wa nane tukatoa wimbo wetu mwingine uitwo Mijudo haikufanya vizuri katika vituo mbalimbali na tulikuwa na matamasha ya Fiesta hizo ndio sababu’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mkubwa Fella akijibu kwa wanaosema Yamoto Band imepotea

ULIIKOSA HII YA WEUSI NA VANESSA MDEE KWENYE STAGE YA FIESTA DAR BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement