Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Burudani

TOP 10: Videos zilizoangaliwa sana Kenya 2017, Bongofleva zimetajwa mbili

on

Najua mwaka 2017 umemalizika lakini kuna mengi ya kukumbukwa na inawezekana wewe ni moja kati ya mashabiki wa muziki lakini hukuipata hii TOP 10 ya videos 10 za music zilizofanya vizuri nchini Kenya kwa mwaka 2017, kutoka kenyanews.co.ke nimekutana na TOP 10 hii na wasanii wa Bongofleva Diamond na Harmonize  x Rich Mavoko ndio wameingia katika TOP 10 hii.

1. Shape Of  You -Ed Sheeran video ya wimbo huu imetolewa mapema 2017 lakini ulifanikiwa kupata views bilioni 2.5.

2. I Do -Willy Paul

3. Malaika -Nyashinski

4.Marry You -Diamond Platnumz ft Ne-Yo

5. Swalla –Jason Derulo

6. I’m The One- DJ Khaled

7. Despacito -Luis Fonsi

8. Unforgettable -French Montana

9. Show Me- Harmonize

10.Wild Thoughts- DJ Khaled

Majibu ya Hamisa na Zari vipi kuzaa na Diamond kumewafanya kuwa mastaa?

Soma na hizi

Tupia Comments