Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BREAKING: Mkuu wa Polisi Rwanda atua DSM, waongea na IGP Sirro

on

Mkuu wa Jeshi la Polisi wa nchini Rwanda Emmanuel Gasana ametua nchini Tanzania kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro.

Wamekutana kufanya tathmini ya ushirikiano wa kiusalama baina ya nchi hizi mbili, kusaidiana katika kuandaa mafunzo kazini kwa njia ya kubadilishana askari wataalamu kwenye mafunzo haya.

Kutazama mazungumzo hayo bonyeza Play kwenye video ya hapa chini

Ulipitwa na hii? IGP Sirro kaongelea ishu ya Tundu Lissu kupigwa risasi

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement