Tangaza Hapa Ad

Videos

VIDEO: Mchekeshaji Eric Omondi kavileta vitu 5 kwa wanaotaka kuwa kama Saut Sol

on

Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia, leo katusogezea mambo muhimu ambayo unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama Saut Sol.

Unaweza kumtazama Omondi kwenye hii video hapa chini…

ULIKOSA HII YA SAUTI SOL WAKIELEZA WALIVYOKUTANA NA OBAMA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement