Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Dakika 3 za Mchekeshaji Eric Omondi alivyoirudia ‘kuliko jana’ ya Sauti Sol

on

Miongoni mwa wakali wa Comedy huwezi kuacha kumtaja Eric Omondi kutokea Kenya ambaye huwa anafanya covers mbalimbali za nyimbo za wasanii hasa zinazotrend, ameirudia kivingine ‘Kuliko jana’ ya Sauti Sol ambapo ameipa title ya ‘kuliko jana Refix’. 

Unaweza kutazama kwa kubonyeza play hapa chini, ukishaitazama usiache kuniachia comment yako.

VIDEO: Utani wa Mussa Hussein, Jose Mara na Geah Habibu mbele ya RC Makonda, Bonyeza Play kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement