Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mahakama yaamuru aliyekuwa M/Kiti wa UVCCM Taifa arudishwe rumande

on

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamuru kurudishwa tena rumande hadi December 19, 2017 aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Donge, Zanzibar Sadifa Juma Khamis.

Mwenyekiti huyu anadaiwa kukamatwa nyumbani kwake Dodoma December 9, 2017 kwa madai kwamba alikamatwa akiwapa wajumbe soda kutoka Kagera na kosa la pili aliwaahidi kuwalipia nauli.

Ulipitwa na hii? LIVE: Matokeo ya uchaguzi wa UVCCM yanatangazwa

Soma na hizi

Tupia Comments