Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Swali la kwanza la Dr Tulia kwa Serikali tangu aingie Bungeni

on

Imekuwa sio kawaida kumuona kiongozi wa ngazi ya juu akisimama Bungeni na kuuliza maswali kwa Serikali, May 15, 2018 Naibu Spika Dr Tulia Ackson alisimama kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Mbunge na baadae kuwa kwenye nafasi hiyo alisimama Bungeni na kuihoji Serikali imejipangaje kusaidia vituo vya afya katika jimbo la Rungwe. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (TAMISEMI) Joseph Kakunda.

“Tuwaruhusu hawa wanajeshi, hakuna kitu kinaishi maisha” –Shally Raymond

Soma na hizi

Tupia Comments