Tangaza Hapa Ad

Mix

Pro.Lipumba kujiunga ACT-Wazalendo? Majibu yako hapa

on

Ni Septermber 5, 2016 ambapo stori iliyochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Pro. Ibrahim Lipumba kujiunga kwenye chama cha ACT-Wazalendo.

Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata afisa habari wa ACT- Wazalendo, Abdallah Hamis ameyaongea haya>>>>Mpaka muda huu viongozi wetu wapo kwenye vikao vya Chama na tumepokea SMS nyingi kwamba Pro.Lipumba ndio anajadiliwa lakini sio kweli hizo taarifa ni za uongo kitakachojadili wa tutawaambia waandishi wa habari’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Abdallah Hamis kuhusiana tetesi za Pro.Lipumba

ULIKOSA MAJIBU YA MKURUGENZI NHC KUHUSU MADAI YA KUINGIZA SIASA KWENYE ISHUA YA NHC NA MBOWE HOTELS BASI ITAZAME HII VIDEO

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement