Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

“Tusikae kimya tukiona hatutendewi haki” –Hussein Bashe (+Video)

on

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ametoa salamu zake za mwisho wa mwaka kwa wananchi wake wa Nzega na kuelezea baadhi ya mafanikio aliyoyawezesha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja lakini pia hajaacha kuelezea hali ya nchi kwa sasa.

Jitihada nyingi zilizofanywa na Serikali ambazo zinalenga kutuletea maendeleo zinaweza pia kwa upande mwingine kuonekana zinaleta maumivu lakini ni imani yangu baada ya muda mfupi kupita mambo yote yatakaa sawa na Serikali itasimamia vyema rasilimali zake kuhakikisha wananchi wanafurahia na wananufaika”-Hussein Bashe

Mgongano wa fikra ni sehemu ya maisha na kupitia mambo haya ndipo tutaweza kujifunza namna nzuri ya kuishi kwa kukubali na kuheshimu mawazo ya kila mmoja.”-Hussein Bashe

BREAKING: TRA kuanza kumchunguza Kakobe, “nina hela kuliko Serikali”

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement