Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Afande Sele kakubali kujiunga CCM ? kayaongea haya…

on

Ni October 15, 2016 ambapo msanii mkongwe kutoka Bongoflevani, Afande Sele aliingia kwenye headlines mitandao za kuhusu kuhamia CCM kutokana na picha iliyosambaa ikimuonesha akiongea kwenye msafara uliosimamishwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu mkoani Morogoro.

Sasa  basi millardayo.com & Ayo TV imempata staa huyo na kuyangea haya>>Hizo taarifa si kweli na napokea simu nyingi sana kuhusu habari uliyoisikia ile siku nilipata mualiko wa Serikali kuzungumza machache baada ya Makamu wa Rais mama yetu Samia Suluhu alipofika mkoani kwetu sikuwa pekee yangu bali nilikuwa na mkuu wa mkoa naomba watu wajue kwamba mimi bado nipo katika chama changu cha ACT’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Afande Sele

ULIIKOSA HII YA KATIBU MKU KIONGOZI BALOZI KIJAZI AKITANGAZA MAAGIZO YA RAIS ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement