Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana MwanaFA na Vanessa wanatualika kuitazama ‘Dume suruali’

on

Ni zamu nyingine ya Mwana FA, uhodari wake wa kuandika umefanya kila anaeifatilia Bongofleva avutiwe kujua ameandika nini kwenye kila anapotoa ngoma mpya, leo katuletea video mpya ya ‘dume suruali‘ na ukishaitazama unaweza kuacha comment yako hapo chini mtu wa nguvu

VIDEO: Uliikosa Interview ya Mwana FA kuhusu muziki, maisha yake, Jokate, P Funk na mengine? tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement