Video Mpya

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni Mwana FA tena… zamu hii kaja na Maua Sama “hata sielewi”

on

Ni zamu nyingine tena ya Mkali wa Bongofleva mwenye nyota zote tatu… ni MwanaFA ambae leo hajarudi mwenyewe, kapita na Maua Sama kwenye mdundo huu mpya “hata sielewi”

ON AIR: MWANA FA AJIBU KUHUSU SUGU NA JAY DEE, AJADILI MENGINE MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments