Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Rais Jacob Zuma amekubali kujiuzulu kwa sharti hili

on

Leo February 13, 2018 stori kubwa kutoka kwa “Tata Madiba” kuhusu uamuzi aliouchukua Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekubali kuachia madaraka ya kuongoza nchi hiyo, baada ya wito uliotolewa na chama chakle ANC kumtaka kujiuzulu ndani ya masaa 48.

Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari Johannesburg Katibu Mkuu wa ANC Ace Magashule amesema Makubaliano hayo ya kujiuzulu yamekuja na sharti kwamba atafanya hivyo baada ya miezi mitatu mpaka sita kuanzia sasa, na bado uongozi wa ANC haujatoa jibu kama umeridhia ombi hilo.

Mpina ameagiza Watendaji katika Wizara yake kusimamishwa kazi

Soma na hizi

Tupia Comments