Tangaza Hapa Ad

Magazeti

Sakata la faru John lilivyochukua sura mpya

on

Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.

Hizi hapa chini ni zile kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo December 31 2016 ambapo mojawapo ni kutoka gazeti la Nipashe kuhusu sakata la faru John  ambapo serikali imezuia utoaji wa taarifa holela zinazotolewa na watu mbalimbali na kusisitiza kuwa mwenye kuidhinisha jambo hilo siyo mtu mwingine isipokuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

AyoTVMAGAZETI: Kasi ya kufungwa maduka tishio, Hofu yatanda bei mpya ya umeme, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement