Tangaza Hapa Ad

Mix

Pamoja na Ubilionea, mmiliki wa Facebook anaingia jikoni kama kawaida

on

Wanasema Mabilionea wengi huwa hawana muda wa kufanya vile vitu vya nyumbani sababu wanatumia muda wao mwingi sana kusafiri na kufanya kazi, lakini kwa Mmiliki wa Facebook ni kwamba huwa hatoi picha za kila siku lakini huwa anaingia jikoni mara kwa mara.

Bilionea Mark Zuckerberg ambaye mara nyingi huonekana amevaa Tshirt ya aina moja wakati wote, ametuonyesha picha akiwa jikoni anamsaidia mke wake kupika na kazi nyingine za jikoni.

VIDEO: Tazama mradi wa Nyumba 1500 zinazojengwa na Milionea Mtanzania aliyeishia Darasa la 7, zinajengwa Kigamboni Dar es salaam…… bonyeza play hapa chini kumtazama mwenyewe

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement