Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Ukiona hivyo ujue na wewe kibamia”-Roma

on

Mwana hiphop Roma Mkatoliki  siku chache zilizopita aliagizwa na BASATA kubadilisha baadhi ya mistari katika wimbo wake wa “Kibamia” alioimba na msanii mwenzake Stamina.Kutokana na agizo hilo ambalo lilitolewa na BASATA kukawa na baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki kuhusiana na hilo.

 

Diamond alivyowashinda Davido, Wizkid na 2face tuzo za Sound City MVP Nigeria

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement