TZA http://millardayo.com millardayo.com Thu, 17 Apr 2014 15:35:34 +0000 en-US hourly 1 http://wordpress.org/?v=3.9 Taarifa kuhusu Mpiga Bass Guitar wa Skylight Band aliyefariki. http://millardayo.com/msibasky/ http://millardayo.com/msibasky/#comments Thu, 17 Apr 2014 14:08:31 +0000 http://millardayo.com/?p=40422 Aliyekua mpiga Bass Guitar wa Skylight Band amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 17,Marehemu Ayubu songolo ama Chili Chala ambaye alizoeleka kwa jina hilo amefariki ghafla ambapo taarifa inasema alianguka akiwa nyumbani kwake. Marehemu Alikimbizwa hospitali akiwa amepooza mwili na ameacha Mke na watoto wawili,miongoni mwa bendi alizowahi kuzifanyia kazi ni bendi ya Akudo...

The post Taarifa kuhusu Mpiga Bass Guitar wa Skylight Band aliyefariki. appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/msibasky/feed/ 0
Kumbe Wanafunzi waliozama na meli korea kusini walituma msg kwa wazazi kabla. http://millardayo.com/msgmeli/ http://millardayo.com/msgmeli/#comments Thu, 17 Apr 2014 12:59:46 +0000 http://millardayo.com/?p=40403 Meli ya Korea Kusini iliyokua imebeba zaidi ya abiria 460 wengi wakiwa ni Wanafunzi, ilizama kusini mwa pwani ya nchi hiyo siku ya Jumatano asubuhi ambapo mpaka sasa wengi hawajapatikana huko Korea Kusini ilikozama na ni siku moja tu baada ya ajali ripoti zimeanza kutoka za msg zilizotumwa na wale waliokuwa wamekwama ndani ya meli...

The post Kumbe Wanafunzi waliozama na meli korea kusini walituma msg kwa wazazi kabla. appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/msgmeli/feed/ 0
Ukiambiwa kapona unaweza kubisha, dereva alibanwa kwenye hii ajali kwa zaidi ya dakika 100. http://millardayo.com/ajalidsm/ http://millardayo.com/ajalidsm/#comments Thu, 17 Apr 2014 12:43:21 +0000 http://millardayo.com/?p=40394 Kuna ajali nyingine hazijazoeleka kwenye macho ya watu wengi katika maisha ya uhalisia labda kwenye movie, hii inaweza kuwa moja wapo ambayo imetokea Dar es salaam maeneo ya Mwenge. Dereva Yusuf Ally Massiru anasema alikua anatoka Mwenge kumshusha mke wake mpenzi kazini na kisha akawa anarudi Mbezi Beach kutokea Mwenge lakini sekunde chache Mwanajeshi akasimamisha...

The post Ukiambiwa kapona unaweza kubisha, dereva alibanwa kwenye hii ajali kwa zaidi ya dakika 100. appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/ajalidsm/feed/ 0
Sikiliza You heard ya leo April 17 inayohusu kusambaratika kwa kundi la Off Side Trick. http://millardayo.com/youheardapril17/ http://millardayo.com/youheardapril17/#comments Thu, 17 Apr 2014 12:25:23 +0000 http://millardayo.com/?p=40393 Kupitia You heard ya leo April 17 Soud Brown ana-amplify taarifa za kusamabaratika kwa kundi la Off side Trick ambalo kipindi cha mwisho lilikua likundwa na Lil Gheto pamoja na Hammer Q,miongoni mwa sababu zilizotoka ni kuwa Lil gheto alikua hataki kwenda kwenye show ambazo zilianzia kupita kwa Hammer Q. 92.9 Clouds Fm inasikika ukiwa...

The post Sikiliza You heard ya leo April 17 inayohusu kusambaratika kwa kundi la Off Side Trick. appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/youheardapril17/feed/ 0
Baada ya UKAWA kutoka nje ya bunge jana, haya ni 9 ya leo ya Samwel Sitta http://millardayo.com/sittaap17/ http://millardayo.com/sittaap17/#comments Thu, 17 Apr 2014 10:43:57 +0000 http://millardayo.com/?p=40252 Jana April 16 2014 UKAWA wakiongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba wakati bunge likiwa katikati waligoma kuendelea nalo na kuamua kutoka nje kwa kile wanachosema ni ubaguzi na matusi pamoja na mapungufu mengine ambayo hawawezi kuyavumilia. Baada ya hayo mwenyekiti wa bunge la katiba Mh. Samwel Sitta leo April 17 2014 akatumia sekunde kadhaa tu baada...

The post Baada ya UKAWA kutoka nje ya bunge jana, haya ni 9 ya leo ya Samwel Sitta appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/sittaap17/feed/ 0
Umeipata Ratiba ya Foosball weekend hii ya pasaka?ipo hapa http://millardayo.com/foosballpasaka/ http://millardayo.com/foosballpasaka/#comments Thu, 17 Apr 2014 10:33:56 +0000 http://millardayo.com/?p=40383 Weekend hii Heineken inauleta tena mchezo kabambe wa foosball karibu na pale ulipo kushiriki kwenye michuano hii unatakiwa kufika eneo husika ambapo utapata kinywaji cha Heineken hapo utasajili jina la timu yako na tayari utakuwa umepata nafasi yakushinda tripu kali yakwenda Ibiza Spain kushuhudia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league. Kwa mjibu...

The post Umeipata Ratiba ya Foosball weekend hii ya pasaka?ipo hapa appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/foosballpasaka/feed/ 0
Ulisikiliza Hekaheka ya leo April 17?ipo hapa http://millardayo.com/hekaapril17/ http://millardayo.com/hekaapril17/#comments Thu, 17 Apr 2014 10:21:31 +0000 http://millardayo.com/?p=40380 Hii imetokea hapa hapa 88.5 Dar es salaam ambapo ni kuhusu mama aliyekuwa akimtesa mtoto wa dada yake ambaye alikabidhiwa baada ya dada yake kufariki,majirani wamejikusanya hadi kwa huyo dada kwenda kumsema tabia hiyo. 88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Morogoro. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post

The post Ulisikiliza Hekaheka ya leo April 17?ipo hapa appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/hekaapril17/feed/ 0
Huu ndiyo Msaada walioutoa NMB kwa Hospitali ya Mwananyamala. http://millardayo.com/nmb009/ http://millardayo.com/nmb009/#comments Thu, 17 Apr 2014 10:14:24 +0000 http://millardayo.com/?p=40374 Benki ya Nmb imekabidhi msaada wa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya milion 5 akipokea msaada huo Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi ameishukuru Nmb,misaada hii imewasilishwa na Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Ndg,Salie Mlay. Nmb imekabidhi vifaa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali ya Mwananyamala  mbele ya Meneja...

The post Huu ndiyo Msaada walioutoa NMB kwa Hospitali ya Mwananyamala. appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/nmb009/feed/ 0
Kuhusu Msichana aliyeishi na Mbwa pamoja na Tumbili kwa miaka 9. http://millardayo.com/argentina14/ http://millardayo.com/argentina14/#comments Thu, 17 Apr 2014 09:14:10 +0000 http://millardayo.com/?p=40369 Polisi nchini Argentina wamemwokoa msichana mwenye umri wa miaka kumi na tano ambaye alifungiwa katika chumba cha kuegesha magari na kunyimwa chakula pamoja na kupigwa na wazazi waliokuwa wakimlea kwa kipindi cha miaka tisa. Msichana huyo aliishi na Tumbili kwenye chumba cha kuegeshea magari ambapo baada ya kupimwa alikutwa na uzito wa kilo ishirini na...

The post Kuhusu Msichana aliyeishi na Mbwa pamoja na Tumbili kwa miaka 9. appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/argentina14/feed/ 0
Video: Gareth Bale alichofanya jana usiku na kuipa ubingwa Real Madrid http://millardayo.com/garethbale-realmadridvsbarca/ http://millardayo.com/garethbale-realmadridvsbarca/#comments Thu, 17 Apr 2014 08:37:01 +0000 http://millardayo.com/?p=40357 Gareth Bale jana usiku aliibuka shujaa wa mamilioni ya mashabiki wa Real Madrid baada ya kufunga bao la ushindi liloipa klabu yake ubingwa wa kombe la Copa Del Rey mbele ya FC Barcelona katika mchezo uliopigwa jana usiku kwenye dimba la Mestalla huko Valencia. Tazama video ya magoli ya hii mechi hapa chini ambayo iliyoisha...

The post Video: Gareth Bale alichofanya jana usiku na kuipa ubingwa Real Madrid appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/garethbale-realmadridvsbarca/feed/ 0
Umemsikia Lukuvi leo bungeni kuhusu kauli yake Kanisani na jeshi kutawala nchi? http://millardayo.com/ap1740360lukuvi/ http://millardayo.com/ap1740360lukuvi/#comments Thu, 17 Apr 2014 08:23:53 +0000 http://millardayo.com/?p=40360 April 17 2014 Wajumbe walio upande wa (UKAWA) kwenye bunge la katiba wakiongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba waligoma na kuamua kutoka nje ya bunge hili hapa Dodoma baada ya Profesa Lipumba kumaliza kuzungumza kwamba hawawezi kuendelea na bunge la matusi na ubaguzi. Kingine kikubwa alichozungumza Prof. Lipumba ni kusikitishwa na kauli ya Waziri Lukuvi aliyoitoa...

The post Umemsikia Lukuvi leo bungeni kuhusu kauli yake Kanisani na jeshi kutawala nchi? appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/ap1740360lukuvi/feed/ 0
Hizi ni dakika 20 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti ya leo April 17. http://millardayo.com/kuperuziapril17/ http://millardayo.com/kuperuziapril17/#comments Thu, 17 Apr 2014 06:33:05 +0000 http://millardayo.com/?p=40351 Baada ya kuwa umesoma kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya Tanzania millardayo.com inakualika kusikiliza yakisomwa na kuchambuliwa kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya leo kupitia kipindi cha Power Breakfast. 88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post

The post Hizi ni dakika 20 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti ya leo April 17. appeared first on TZA.

]]>
http://millardayo.com/kuperuziapril17/feed/ 0