AyoTV

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

on

Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia watu wanne kwa kosa la kujifanya maafisa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) na Usalama wa taifa na kufanya uhalifu katika maeneo mbalimbali nchini huku wakitumia vitambulisho, sare za jeshi hilo. Kamanda wa Polisi mkoani humo Gilles Muroto amezungumza na Waandishi wa habari ambapo ameeleza namna walivyoweza kuwakamata wahalifu hao.

GOOD NEWS: Kama una tatizo la FIGO ipokee hii kutoka Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments