Premier Bet

Habari za Mastaa

AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati’

on

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI.

Akizungumza na millardayo.com Katibu mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza alisema..’Ni kweli tumeufungia wimbo wa msanii Nay wa Mitego  kwasababu haupo kimaadili katika jamii ya kitanzania ukizungumzia maneno yenye ambayo mwimbaji ameyatumia sio mazuri kimaadili’- Godfrey Mngereza

ULIIKOSA HII YA SNURA KUHUSU SERIKALI KUUFUNGIA WIMBO WAKE WA ‘CHURA’ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments