Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Asante Mungu haikutokea ajali, madereva wote wawili wanashughulikiwa” – Waziri Mwigulu

on

Leo January 23, 2018 kwenye mitandao ya kijamii imesambaa video inayoonesha mabasi mawili moja likitambuliwa kuwa la kampuni ya New Force yaki overtake lori lililokuwa mbele yao, huku mabasi hayo yakipita upande wa kulia na kushoto wa lori hilo kwa wakati mmoja bila kuchukua tahadhari.

Kitendo hiki kimelaaniwa na watu na viongozi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Jeshi la Polisi nchini ambapo kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr. Mwigulu Nchemba tayari madereva hao wanashikiliwa na polisi na hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

“Yeyote anayehatarisha maisha ya watu wetu hatutamuacha mbali na mkono wa sheria, ashukuriwe Mungu kwa sababu haikutokea ajali, madereva wote wawili wanashughulikiwa.” – Waziri Mwigulu

“Nabii Tito” amwambia Kamanda “mimi ninatumia Biblia”

Soma na hizi

Tupia Comments