Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ni kweli AY kafunga ndoa ya siri Rwanda? (video)

on

Leo ni February 11, 2018 nikusogezee stori ya Staa Mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya ambaye wengi tunamfahamu kama AY  hii stori inatokea nchini Rwanda February 10, 2018 zime-trend picha na habari katika mitandao ya kijamii kuwa staa huyo kafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy.

AY ameripotiwa kufunga ndoa nchini Rwanda ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy, inaripotiwa kuwa harusi ya AY ambaye bado hajapost chochote katika ukurasa wake wa instagram na kuwatangazia mashabiki kuwa amefunga ndoa, imehudhuriwa na mastaa wachache kutoka Bongo akiwemo Meneja wake Sallam Sk.

MAKAMUA KAELEZEA UJIO MPYA WA WAKALI KWANZA, KAWEKA WAZI KAZI ANAYOIFANYA SASA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments