PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

Kama sio mashabiki Mwinyi Zahera angeiacha Yanga

on

Moja kati ya habari kubwa zinazochukua headlines katika soka ni pamoja na hii ya kocha mkuu wa Yanga raia wa Congo DRC Mwinyi Zahera, kudaiwa kuwa alikuwa anataka kuondoka Yanga kutokana na mambo aliyoyaita ya ovyo kuendelea kufanyika.

Mwinyi Zahera akiongea na waandishi wa habari alisema alitaka kuondoka Yanga na kuacha kazi Yanga, baada ya viongozi kumsajili golikipa pasipo yeye kujulishwa ndipo akataka kuacha kazi ila kutokana na kuwapenda mashabiki hao ila la sivyo asingekuwepo Yanga.

MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe

 

Soma na hizi

Tupia Comments