Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Shilole alipomuuliza Young Killer anatumia mkorogo?, Ndani ya basi la wasanii


Tamasha la FIESTA 2016 lipo kwenye ziara yake ya kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo moja ya vitu ungependa kuona ni jinsi Wasanii wanavyosafiri pamoja kwenye basi na maongezi yao wakati mwingi.

Wakati safari ikiendelea Shilole akaamua afunje ukimya na kumtwanga swali Rapper, Young Killer kama anatumia mkorogo na hichi ndicho alichojibu Rapper huyo, Nimekusogezea video hapa chini tu wangu unaweza kuitazama

ULIIKOSA YA CHRISTIAN BELLA ALIPOMTAJA NUH MZIWANDA MBELE YA SHILOLE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement