Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

MSIBA: Joel Bendera afariki dunia

on

Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Aminiel Eligaisha amethibitisha kifo chake na kueleza kuwa Bendera alifikishwa hospitalini hapo Saa 6:03 mchana na kupelekwa katika wodi ya magonjwa ya dharura na ilipofika saa 10:24 jioni alifariki dunia.

Marehemu amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, pia Mbunge wa Morogoro, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kwenye Serikali ya Awamu ya Tatu.

Ulipitwa na hii? Chanzo kifo cha Ndikumana na alichoomba kabla ya kufariki

Soma na hizi

Tupia Comments