Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

TETESI: Enrique akubali kumrithi Conte Chelsea

on

Nafasi ya Kocha wa Chelsea Antonio Conte ndani ya klabu hiyo imeonekana kuwa mashakani tangu wiki iliyopita baada ya kupata matokeo mabaya ya kufungwa 3-0 dhidi ya Bournemouth na yale ya 4-1 mbele ya Watford siku ya Jumatatu.

Taarifa kutoka nchini Hispania zinasema kuwa Meneja wa zamani wa klabu ya FC Barcelona, Luis Enrique ameonekana kukubali kurithi mikoba ya kocha Antonio Conte ndani ya Chelsea.

Kufuatia mwenendo wa kusuasua kwa kikosi cha Chelsea mmiliki wa timu hiyo Roman Abramovich anampango wa kumpatia mkataba wa miaka miwili na nusu Enrique  ambao atakuwa Chelsea hadi mwaka 2020.

HALI ILIVYOKUWA BAADA YA KRC GENK YA SAMATTA KUINGIA FAINALI.

Soma na hizi

Tupia Comments