Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Steve Nyerere atangaza rasmi kuingia kwenye Stand Up Comedy…..

on

Ni Sept 1, 2016 ambapo staa kutoka kwenye tasnia ya filamu Steve Nyerere amefunguka kuhusiana kuingia kwenye headlines za Stand Up Comedy ambapo wiki anatarajia kutoa burudani kwa watu wake.

Staa huyo aliipata heshima millardayyo.com & Ayo TV na kuyaongea haya>>>>Sifa za msanii ni kuwa mbunifu hii kitu nilikuwa naiwaza kwa muda mrefu sana na unapozungumzia jina la Steve Nyerere ni kubwa ambapo nitazinduzi kipaji changu cha pili ambacho kitakuwa kinarushwa kwenye TV

‘Wenzetu wakenya wamefanya, wenzetu wa Afrika Kusini wamefanya Stand Up Comedy kwahiyo mimi naenda kuona ubora wangu na sio kama nitakapoingia huko na filamu basi hapana bali nitakuwa nafanya kama kawaida na wiki hii natarajia kutoa burudani kwa watu special’

Unaweza ukabonyeza play kumsikilza Steve Nyerere akizungumzia Stand Up Comedy

ULIYAKOSA HAYA YA JAY MOE KWA WASANII WA KIZAZI KIPYA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement