Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Post ya Fid Q kwa ngoma mpya ya Joh Makini iliyoachiwa jana

on

Inawezekana na wewe ni miongoni mwa mashabiki wa bongofleva ambao wamewahi kuzisoma sana mitandaoni habari zilizoandikwa kwamba wawili wa HipHop Tanzania Joh Makini na Fid Q huwa wana beef.

Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana tulianza kuona wawili hawa wakiendelea kuonyesha kwamba hawana tatizo au hakuna beef kati yao ambapo Fid Q ameendelea kudhihirisha kwamba hakuna tatizo kwa kupost leo January 26 kipande cha video mpya ya Joh Makini.

Baada ya kupost  video hiyo fupi Fid Q aliwajulisha mashabiki kwamba kuna ngoma mpya na alisisitiza kwenye caption kuelekeza watu waende kuitazama >>> ‘New video alert WAYA toka kwa Mwamba wa Kaskazini @JohMakiniTZ (link ipo kwenye BIO yake nenda kajionee Maunyama)

VIDEO: Tazama P Funk alivyojibu baada ya kuona video ya mapenzi inayosambaa kwenye Internet na kusemekana ni mtoto wake (Paula) bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement