Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Maneno ya Fid Q baada ya kusikia Nay wa Mitego amesema hastahili kufananishwa nae

on

Ni kazi yangu kukusogezea habari zote kubwa kutokea kwenye area zote za Tanzania na nje ya Tanzania na kwa sasa nakusogezea hii ya bongofleva ambapo kupitia Interview ya show ya Planet Bongo msanii wa bongofleva Nay wa Mitego alihojiwa na kusema yafuatayo.

Huwa nakasirika sana nikiona mtu anamfananisha Fid Q na Rappers wengine wepesi kama mimi, sipendi kabisaaa

Baada ya Fid Q kufikiwa na hiyo taarifa alichukua time yake na kusema yafuatayo >>>Wewe sio mwepesi kaka @naytrueboy – so yawezekana kabisa na wao wakawa na vigezo flani special vinavyowapelekea wadau kunilinganisha au hata kunipima nao.. yote na yote.. ubarikiwe sana na asante sana kwa #LoveYaHelaYote

ULIPITWA? Meneja Sallam LIVE Instagram, ajibu maswali ya Mashabiki….. kataja wimbo wa Alikiba anaoukubali, Wasanii anaowakubali nje ya WCB na mengine bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement