DSTV


Tangaza Hapa Ad

Mix

TOP 10: FIFA watangaza viwango vya ubora wa soka, Tanzania imeshuka

on

Katika viwango vya ubora wa soka Duniani vilivyotolewa na FIFA kwa mwezi February, rekodi inaonyesha namba 1 imeshikwa na Argentina wakati ya pili ni Brazil na ya tatu ni Ujerumani.

Kwenye orodha hiyo Tanzania imeshuka nafasi mbili kutoka namba 156 hadi 158 wakati timu ya mwisho kabisa ni Tonga ikiwa nafasi ya 205 na somalia wakiwa juu ya Tonga.

 

VIDEO: Majibu ya Rais wa TFF kuhusu tuhuma za kula Bilioni moja za FIFA, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement