Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BREAKING: Nyumba nyingine zaidi ya 100 zateketezwa Kagera

on

Operation inayoendelea Kagera kuwaondoa wananchi waliovamia maeneo ya mapori ya akiba na misitu ya hifadhi kwa shughuli za kilimo na ufugaji…imewagusa pia wananchi wa Misenyi.

Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Kanali Denis Mwila amesema kuwa kuna msitu wa Bushenya wilayani humo wenye ukubwa wa takribani hekta 7,000 lakini kufikia sasa zaidi ya hekta 1,000 zimevamiwa na wananchi hali iliyopelekea kuchoma nyumba zaidi ya 100 za wavamizi hao.

BOMOABOMOA JANGWANI: Kinachoendelea baada ya wananchi kuondolewa

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement