Tangaza Hapa Ad

beef

EXCLUSIVE: Hutotaka kupitwa na alichosema Fid Q kuhusu Joh Makini. (+VIDEO)

on

Kwa miaka mingi wanahiphop wa Tanzania Fid Q na Joh Makini wamekua wakiandikwa kwenye stori za kutoelewana na ni sababu ya majina yao kulinganishwa na mashabiki mara nyingi kwenye meza moja.

Inawezekana hujawahi kumsikia Fid Q akimuongelea Joh Makini hivi ambapo AyoTV Entertainment imempata kwenye Exclusive, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

EXCLUSIVE: Orijino Komedi mbona kimya? Q Chief kaitwa WCB? Ushauri wa Chilambo wa BSS 2017? zote hizi utazitazama kwenye video kwa kuplay hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement