Tangaza Hapa Ad

Duniani

Takwimu: Kwa miaka 600 sasa, matajiri ni walewale katika mji huu

on

Imekua kawaida matajiri wakubwa duniani na wajasiriamali kujulikana kutokana na jitihada zao binafsi tofauti na hapo zamani ambapo kwa asilimia kubwa utajiri ulipatikana kwa kurithi kutoka kwa wazazi. Jambo ambalo halijabadilika mpaka sasa katika baadhi ya nchi

Florence Marekani ni moja kati ya miji ambayo majina ya  matajiri wake  ni yale yale yaliyokuwepo tangu mwaka 1427 ambapo ni zaidi ya miaka 600 sasa.

veduta

Watafiti wa uchumi wamegundua kuwa majina ya familia zilizoingia katika list ya matajiri wakubwa mjini hapo hayajabadilika kwa takribani miaka 600 sasa. Wachumi Guglielmo Barone na Sauro Mocetti wamegundua kwamba zaidi ya majina 900 ya familia zilizokuwa na utajiri mkubwa  hayajabadilika tangu mwaka 1427  utafiti uliofanyika mwaka 2011.

florence-city-tour-panorama

Hata hivyo rekodi za malipo ya kodi mjini hapo zinathibitisha juu ya kutokubadilika kwa majina ya matajiri katika mji huo miaka nenda rudi. Biashara zilizoanzishwa na wazazi wao zimeendelezwa na kuwa kubwa zaidi hali ambayo inasababisha utajiri kuongezeka. Kila aliyeweza kumiliki mali miaka 600 iliyopita aliziacha mali zake katika usimamizi makini.

ILIKUPITA HII YA MBUGE KANGI LUGOLA KUTOKUBALIANA  NA WABUNGE KUKATWA KODI ‘MNATAKA TURUDI MTAANI MTUCHEKE’

 

Tupia Comments

Advertisement