Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Alichokiandika Florah Mvungi kuhusu mapenzi ya Diamond na Wema

on

Frola-Mvungi.JPG-2Uhusiano wa Diamond na Wema umeonekana kurudi kwa kasi hasa baada ya party iliyofanyika December 25 2013 pale Leaders na kuwahusisha Watoto mbalimbali kusherehekea xmas na Diamond mwenyewe.

Siku hiyo wakati Diamond akitaka kuanza kuimba ‘ukimuona’ alimkatisha Dj na kuwauliza watoto ‘mimi mchumba wangu nani?’ watoto wakawa wanajibu Wemaaa!!!!!!! ndipo Diamond akawatangazia watoto kuwa ngoja aje mchumba wake wamuone alipopanda jukwaani alikua ni Wema Sepetu.

Sasa basi, katika zile stori za Instagram si nikakutana na hii post ya mwigizaji Florah Mvungi  ‘me na mume wangu tunapendana sana but still tunaipenda sana hii couple iendelee kuwepo, Mungu awajalie mapenzi tele wafike malengo all the best darlings’

Screenshot_2014-01-16-11-30-28

Tupia Comments

Advertisement