Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Ipokee ‘For You’ kutoka kwa Chidinma…

on

Mwanadada msanii kutokea Nigeria, Chidinma anayefahamika kama ‘Miss Kedike’ ambae ameshafanya collabo na rapper wa Tanzania Joh Makini kwenye single ya ‘Perfect Combo‘ amerudi tena kwenye air waves na ngoma yake mpya ya ‘For You’.

Nimekuwekea video ya mdundo huo hapa chini bonyeza play uweze kuitazama …

VIDEO: Umeikosa Exclusive ya Diamond alivyowazungumzia Vera Sidika na Huddah? bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Tupia Comments

Advertisement