Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ukweli wa tetesi za Mr Blue kuwasiliana na Ex wake Najma…..

on

Headlines za Mr Blue kuwa na mawasiliano na Ex wake wa zamani Najma zimechukua nafasi sana kwenye mitandao ya kijamii, sasa leo August 30, 2016 kaeleza ukweli  kuhusiana na tetesi hizo.

Kupitia millardayo.com na Ayo TV star huyo aliipata heshima na kuyaongea haya>>>Sio kweli na ndio kitu ambacho kimenipa hasira kwasababu mpaka mke wangu amekasirika sana nashangaa wameongea kwenye radio kwamba mimi nimempigia  Najma’

‘Ukweli ni kwamba yeye alinipigia na kuomba kufanya collabo na mimi kwahiyo nilimwambia kwanza itabidi nizungumze na mke wangu maana anajua nilikuwa nae kwenye uhusiano kwahiyo itabidi afahamu kwamba lakini imekuwa tofauti kabisa na watu wanavyoongea’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mr Blue akiongea tetesi hizo

ULIIKOSA HII YA MR BLUE ALIVYOITUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA FIESTA MULEBA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement