Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

TRAILERS: Movie 6 utazikuta Cinema Dar es salaam leo Oct 28

on

Najua nina watu wangu tu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend kama hivi sasa kama upo Dar es salaam kuna hizi movie labda ukitazama Trailers hapa unaweza kushawishika kwenda kuzitazama.
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center, Arusha Mall, unaweza ukaangalia trailers za movie hapa chini zitakazooneshwa leo October 28, 2016 usiku.

Never Go back

The Accountant 

Ae Dil Hai Mushkil

Shivaay

Masterminds

Trolls

ULIKOSA WALICHOKISEMA SAUTI SOL KUHUSU WASANII KUTOKA BONGO FLEVANI WALIOFANYA NAO COLLABO BASI BONYEZA PLAY HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement