Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Jay Moe ana haya machache kwa wasanii wa kizazi kipya


Jay Moe ni miongoni mwa ma rapper wa longtime kwenye tasnia ya Bongo Fleva, sasa leo ana haya machache kwa wasanii wa kizazi kipya cha Bongo Fleva.

Staa huyo aliipa heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea>>>Sasa hivi nahitaji wadogo zangu wanipe support mimi yaani kazi zangu ile brand yangu ya So Famous Entertainment kwahiyo nataka hiyo Label tuipe nguvu ili mwendelezo uwe mzuri ┬ána mimi niweze kupasi kijiti kwa mtu mwingine’

Unaweza ukabonyeza play kumtazama Jay Moe kuhusu wasanii wa kizazi kipya

ULIIKOSA HII YA BELLE 9 KUHUSU COLLABO MPYA ZA DIAMOND TUTARAJIE HIZI MPYA BONYEZA PLAY

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement