Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ridhiwani Kikwete kazitaja nyimbo 4 za wasanii zinazofaa kuitwa bora 2016

on

Tukiwa katika headlines za kumaliza mwaka 2016 sasa basi  Dec 22, 2016 Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete kazitaja nyimbo 4 za wasanii kutoka Bongoflevani ambazo zinafaa kuitwa bora mwaka 2016.

Mbunge huyo akizungumza na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya…>>>>Ya kwanza kabisa kwangu mimi ni hii ya Give it to me ya Belle 9 na nyingine Ommy Dimpoz na Alikiba ‘Kajiandae’, ya tatu ni Darassa Muziki yaani ni nyimbo ya kufungia mwaka kabisa lakini pamoja na hiyo pia kuna ya Diamond Utanipenda’

Unaweza ukabonyeza play kumtazama Ridhiwani Kikwete akizitaja nyimbo 4 za wasanii zinazofaa kuitwa bora 2016

ULIIKOSA HII YA MWANA FA KUHUSU NYIMBO 3 ZINAZOFAA KUITWA BORA MWAKA 2016 BASI BONYEZA PLAY 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement