Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Maneno ya Diamond kwa Harmonize baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA

on

Tuzo za AFRIMMA ambazo hutolewa kila mwaka kwa Waafrika mbalimbali waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali hasa za burudani, zimetolewa Dallas Texas Marekani leo ambapo kwenye list yote Watanzania walioshinda ni watatu.

Watanzania walioshinda ni Dj D Ommy wa CloudsFM kupitia show mbalimbali ikiwemoXXL na AMPLIFAYA ambapo ameshinda tuzo ya Dj bora Afrika, mwimbaji Harmonize akishinda tuzo ya msanii bora chipukizi Afrika 2016 huku Diamond Platnumzakishinda ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki.

Sasa miongoni waliotoa pongezi kwa Harmonize ni Diamond Platnumza ambae kupitia instagram alipost picha na kuyaandika haya>>>>hii picha inanikumbusha mwaka jana ulipokuja nipokea airport kutokea@afrimma …ukaniuliza “hivi ipo siku nami nitachaguliwa tunzo yoyote ya kimataifa”….nikakwambia “Ukifanya kazi kwa bidii’

‘Ukimuheshimu kila mtu, ukamuamini na kumuomba Mwenyez Mungu basi Mollah atakufungulia ndoto zako….na leo hii kweli Tunafurahia Ushaindi wako wa Msanii Bora Chipkizi Africa….. Hongera sana @harmonize_tzna shukran sana sana kwa Mashabiki zetu pendwa kwa kura na @Afrimmakwa kuendelea kuvinyanyua vipajia vya Africa?’-Diamond Platnumz

I remember last year you came to receive me at the airport when I was coming from @afrimma awards with my trophies…and you asked me “do you think one day I will even be nominated on any international Awards” then I told you “If you work hard, Praying hard, Believe in God, respecting everybody then God will make a way…. and today we are here celebrating Your BEST NEW COMER AFRICA Winning?… congrats @harmonize_tz and thanks a lot to our beloved fans and @Afrimma for keep supporting African talents… (Hii picha inanikumbusha mwaka jana ulipokuja nipokea airport kutokea @afrimma …ukaniuliza “hivi ipo siku nami nitachaguliwa tunzo yoyote ya kimataifa”….nikakwambia “Ukifanya kazi kwa bidii, Ukimuheshimu kila mtu, ukamuamini na kumuomba Mwenyez Mungu basi Mollah atakufungulia ndoto zako….na leo hii kweli Tunafurahia Ushaindi wako wa Msanii Bora Chipkizi Africa….. Hongera sana @harmonize_tz na shukran sana sana kwa Mashabiki zetu pendwa kwa kura na @Afrimma kwa kuendelea kuvinyanyua vipajia vya Africa?)

A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

ULIIKOSA HII YA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU KUFANYA COLLABO NA MSANII WA KIKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement