Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

MAGOLI: Dakika 2 zilizonasa magoli yote ya Simba SC vs Mtibwa leo (video)

on

Leo October 15 Simba SC walicheza game yao ya sita ya Ligi Kuu vs Mtibwa Sugar na ikamalizika kwa sare ya 1-1, goli la Simba limefungwa na Okwi dakika ya 90+2 wakati la Mtibwa limefungwa na Stamili Mbonde dakika ya 36…. hii video hapa chini imenasa magoli yote

SIMBA hawatomsahau Emmanuel Okwi kwa hii ya leo ya dakika 90….

HUTAKI KUPITWA? BREAKING NEWS, ZA MASTAA, SIASA, MICHEZO NA NYINGINE…. fanya jambo moja tu rahisi… BONYEZA PAGE ZIFUATAZO ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER <<<< YOUTUBE kisha bonyeza SUBSCRIBE

Soma na hizi

Tupia Comments