Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

SportPesa yamfuata mshindi hadi kwake Nyakato kumpatia Bajaj

on

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bado inaendelea na utaratibu wake wa kurudisha fadhila kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla waliyoipokea vizuri kampuni hiyo, SportPesa wanaendelea na promosheni yao ya Shinda na SportPesa ambayo inawapa nafasi wateja wake kushinda Bajaj 100 ndani ya siku 100.

SportPesa wamefanikiwa kufika Nyakato jijini Mwanza na kumkabidhi zawadi yake mshindi wa droo ya 23 Hussein Habibu mwenye umri wa miaka 38, Hussein amekabidhiwa pikipiki ya matairi matatu TVS King Deluxe, unaweza kujisali na kuendelea kucheza kwa kutuma neno ‘GAME’ kwenda 15888 au ingia sportpesa.co.tz

Jamaa alie nyuma ya mafanikio ya Cristiano Ronaldo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement