Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Audiofupi: Diamond katoa kionjo cha remix ya ‘All the way up’

on

Ni September 5, 2016 ambapo Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz anazimiliki headlines baada ya kupost kionjo cha remix aliyoifanya ya wimbo wa ‘All the way up’ ya French Montana.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza wimbo huo

You know i Love being crazy Sometimes ??? #FoolingAround #AllTheWayUp #JINI #SIMBA #VAMPIRE Mendez tell those Mother*** ka!

A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

ULIIKOSA HII VIDEO FUPI ILIYOVUJA YA DIAMOND NA NEYO WAKIFANYA VIDEO YAO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement