Tangaza Hapa Ad

Michezo

Dili la Neymar FC Barcelona bado halijakamilika

on

Nahodha wa timu ya taifa ya Brazil anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar jina lake limeingia kwenye headlines baada ya mtandao wa Besoccer kuripoti stori tofauti na ilivyokuwa imeripotiwa na baadhi ya mitandao siku kadhaa nyuma.

Awali Neymar aliripotiwa kuongeza mkataba na FC Barcelona hadi 2021 licha ya kuwa sio yeye wala viongozi wa FC Barcelona ambao waliongea na waandishi wa habari kuhusiana na suala hilo tofauti na ilivyozoeleka.

neymar-jr-during-a-fc-barcelona-match

Neymar yuko radhi kuongeza mkataba wa kuitumikia FC Barcelona hadi 2021 wenye thamani ya euro milioni 250 ambao utamfanya alipwe mshahara wa euro milioni 15 kwa mwaka, dili la Neymar na FC Barcelona lilikuwa likamilike toka July 15 2016 lakini bado haijawekwa wazi nini kilikwamisha.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement