Tangaza Hapa Ad

Picha 13 za RC Mongella akikagua shughuli za maendeleo Ukerewe


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella kama alivyoahidi kutenga siku maalum kwa ajili ya kufanya ziara kukagua shughuli za kimaendeleo, kuzungumza na wananchi na viongozi wa Serikali kujua changamoto katika Wilaya zilizopo Mkoa wa Mwanza, ameanza kutekeleza ahadi yake.

Stori sasa ni kwamba RC Mongella ametembelea na kukagua shughuli za kimaendeleo katika Wilaya ya Ukerewe.

RC Mwanza alivyoacha Ofisi na kukaa nje kuhudumia Wananchi

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement